Fatma Hamad Faki
Sauti yenye uzoefu na uhalisia katika ulimwengu wa habari. Akiwa ameripotia vyombo mbali mbali kama ZBC Radio, Adhana FM, Radio Jamii Micheweni, Swahiba FM, Uhuru FM, Gazeti la Uhuru, Gazeti la Zanzibar Leo na Blog mbali mbali ikiwemo Pemba ya Leo Blog ambayo anaimiliki. Fatma amejikita katika kusimulia hadithi za jamii kwa weledi, ukweli na ubunifu. Anaamini habari ni nguvu—na anaitumia kuleta mwanga, uelewa na mabadiliko.