DiplomasiaKimataifa Iran yaipa Pakistan masharti ya mazungumzo na Marekani News RoomApril 26, 2026April 26, 20260 Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi akiwa mjini Islamabad Jumamosi Aprili 25,2026 amewasilisha kwa Pakistan masharti ya…
AfyaJamii WHO yaidhinisha dawa ya malaria kwa watoto wachanga News RoomApril 26, 20260 WHO imetangaza uamuzi huo katika Maadhimisho ya Siku ya malaria Duniani Aprili 25, 2026. Shirika hilo limesema dawa hiyo inaweza kusaidia…
Michezo & Burudani Mshambulizi wa zamani wa Nigeria Eneramo afariki wakati wa mechi News RoomApril 25, 2026April 26, 20260 Mshambulizi wa zamani wa timu ya Nigeria Michael Eneramo amefariki dunia baada ya kuanguka uwanjani wakati wa mechi ya kirafiki…
JamiiKimataifa Cuba yasema iko tayari kupambana ikivamiwa na Marekani News RoomApril 17, 20260 Diaz-Canel ameyasema haya wakati wa mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na mamia ya watu kwa ajili ya kuadhimisha miaka 65 ya…
JamiiKimataifa Watumiaji wa mitandao ya Kijamii wanasemaje kuhusu vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran? News RoomApril 17, 20260 Watumiaji wa mitandao ya kijamii wameeleza maoni yao kuhusu vita vya sasa vya Marekani na Israel dhidi ya Iran wakisisitiza…
DiplomasiaKimataifa Spika wa Bunge la Uturuki ataka Israel iondolewe Umoja wa Mataifa News RoomApril 17, 20260 Spika wa Bunge la Uturuki Numan Kurtulmus ametaka Israel isitishiwe uanachama wake ndani ya Umoja wa Mataifa, akitoa sababu ya…
Michezo & Burudani Freiburg yafuzu nusu fainali Ligi ya Ulaya mara ya kwanza News RoomApril 17, 20260 Hii ndiyo mara ya kwnaza kwa Freiburg kufika nusu fainaliya mashindano ya Ulaya na wamefuzu kwa jumla ya mabao 6-1…
DiplomasiaKimataifa Israel na Lebanon zasitisha mapigano News RoomApril 17, 20260 Haya yanakuja wakati ambapo Rais Donald Trump wa Marekani amesema anajaribu kupanga mkutano wa kwanza kabisa wa ana kwa ana…
Biashara & UchumiDiplomasia Kenya yaongeza bei ya mafuta kufuatia vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran News RoomApril 17, 20260 Serikali ya Kenya imepandisha bei za rejareja za bidhaa za mafuta kwa kiwango cha hadi asilimia 24.2, ikizingatia ongezeko la…
DiplomasiaKimataifa Papa Leo XIV alaani mzunguko wa machafuko Cameroon News RoomApril 17, 20260 Papa Leo wa kumi na nne amelaani kile alichokiita mzunguko usioisha wa machafuko na vifo wakati wa ziara yake katika…
Biashara & UchumiKitaifa Mbunge ataka sekta binafsi iruhusiwe uzalishaji wa nishati ya umeme News RoomApril 17, 20260 Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi, Ezra Chiwelesa, amesema kuwa suluhisho la tatizo la umeme nchini Tanzania ni Serikali kuruhusu…
Biashara & UchumiDiplomasia Marekani kuanza kuziwekea vizuizi bandari za Iran News RoomApril 13, 20260 Vizuizi hivyo ni pamoja na usafirishaji mafuta ya nchi hiyo baada ya mazungumzo ya amani yaliyofanyika Pakistan kuvunjika na kila upande…