Biashara & UchumiDiplomasia Biashara zapata hasara kutokana na vita Mashariki ya Kati News RoomMarch 3, 20260 Tathmini ya awali inaonesha hisa za makampuni yanayoratibu safari zimeporomoka kwa zaidi ya dola bilioni 22 kutokana na kufungwa kwa…
Biashara & UchumiKimataifa OPEC+ yaongeza uzalishaji kufuatia mvutano mpya na Iran News RoomMarch 2, 20260 Wanachama muhimu wa shirika la wazalishaji wakubwa wa mafuta ulimwenguni (OPEC+) wametangaza ongezeko kubwa kuliko ilivyotarajiwa la uzalishaji wa mafuta….
Biashara & UchumiDiplomasia Waziri wa zamani wa fedha wa Sudan Kusini alikamatwa akijaribu kukimbia nchi News RoomMarch 1, 20260 Waziri wa zamani wa fedha wa Sudan Kusini ndiye afisa wa zamani wa serikali aliyekamatwa hivi karibuni katika wimbi la…
Biashara & UchumiKimataifa Kampuni ya Mali yachukua vituo vya mafuta vya Total Energies News RoomFebruary 27, 20260 Kampuni ya NDC Energie ya Mali imenunua takriban vituo 80 vya mafuta nchini Mali ambavyo awali vilikuwa vinaendeshwa na shirika…
Biashara & UchumiDiplomasia Tanzania yajibu tuhuma za kukamatwa kwa meli yenye bendera yake News RoomFebruary 26, 2026February 27, 20260 Serikali ya Tanzania imejibu tuhuma zinazohusiana na kukamatwa kwa meli yenye bendera ya Tanzania nchini El Salvador ikidaiwa kubeba tani…
Biashara & UchumiDiplomasia China, Ujerumani kuzingatia uwazi na ushindani wa haki News RoomFebruary 26, 20260 Hayo ni kulingana na kauli ya pamoja iliyotolewa na Rais wa China Xi JinPing pamoja na Kansela wa Ujerumani Friedrich…
Biashara & UchumiDiplomasia Madagascar: Ushirikiano wetu na BRICS utatupa fursa mpya News RoomFebruary 25, 20260 Rais wa mpito wa Madagascar, Michael Randrianirina amesema kwamba, nchi hiyo inatazama ushirikiano na jumuya ya BRICS kama njia ya…
Biashara & Uchumi China yazibana kampuni za Japan, mvutano ukiongezeka News RoomFebruary 24, 2026February 25, 20260 China imeyachukulia hatua makampuni na taasisi 40 za Japan ikiwashutumu kwa kusaidia mipango ya kuimarisha uwezo wa jeshi la Japan….
Biashara & UchumiDiplomasia EU yasimamisha kwa muda mpango wa kibiashara na Marekani News RoomFebruary 24, 20260 Hii inajiri baada ya Trump kutangaza ushuru mpya wa jumla wa asilimia 15 kama jibu la uamuzi wa Mahakama ya…
Biashara & UchumiDiplomasia Iraq na Kuwait zaingia kwenye mvutano wa mpaka wa baharini News RoomFebruary 23, 2026February 24, 20260 Mvutano kuhusu mpaka wa baharini kati ya Iraq na Kuwait ulioibuka mwishoni mwa juma umeyachochea mataifa ya kiarabu ya eneo…
Biashara & UchumiDiplomasia Somaliland yatoa nafasi kwa Marekani kufikia madini yake News RoomFebruary 23, 20260 Akizungumza na shirika la habari la AFP, Hussein Abdi amesema wako tayari kuchukua hatua hiyo na wanaamini kuwa Marekani na…
Biashara & UchumiDiplomasia Rais wa Marekani Donald Trump amepandisha ushuru hadi asilimia 15 kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani News RoomFebruary 22, 2026February 23, 20260 Trump ameichukua hatua hiyo siku moja baada ya majaji 6 wa Mahakama Kuu ya Marekani, kuamua kuwa Trump alitumia vibaya mamlaka…