DiplomasiaKimataifa Spika wa Bunge la Uturuki ataka Israel iondolewe Umoja wa Mataifa News RoomApril 17, 20260 Spika wa Bunge la Uturuki Numan Kurtulmus ametaka Israel isitishiwe uanachama wake ndani ya Umoja wa Mataifa, akitoa sababu ya…
DiplomasiaKimataifa Israel na Lebanon zasitisha mapigano News RoomApril 17, 20260 Haya yanakuja wakati ambapo Rais Donald Trump wa Marekani amesema anajaribu kupanga mkutano wa kwanza kabisa wa ana kwa ana…
Biashara & UchumiDiplomasia Kenya yaongeza bei ya mafuta kufuatia vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran News RoomApril 17, 20260 Serikali ya Kenya imepandisha bei za rejareja za bidhaa za mafuta kwa kiwango cha hadi asilimia 24.2, ikizingatia ongezeko la…
DiplomasiaKimataifa Papa Leo XIV alaani mzunguko wa machafuko Cameroon News RoomApril 17, 20260 Papa Leo wa kumi na nne amelaani kile alichokiita mzunguko usioisha wa machafuko na vifo wakati wa ziara yake katika…
Biashara & UchumiDiplomasia Marekani kuanza kuziwekea vizuizi bandari za Iran News RoomApril 13, 20260 Vizuizi hivyo ni pamoja na usafirishaji mafuta ya nchi hiyo baada ya mazungumzo ya amani yaliyofanyika Pakistan kuvunjika na kila upande…
DiplomasiaKimataifa Marekani yapiga marufuku kuchapishwa picha za mashambulizi ya makombora ya Iran dhidi ya ngome za nchi hiyo News RoomApril 6, 2026April 13, 20260 Katika jitihada za kudhibiti picha za athari za mashambulizi ya makombora ya Iran dhidi ya ngome na vituo vyake, Marekani…
DiplomasiaKimataifa Marekani kuutathmini upya uhusiano wake na NATO News RoomApril 1, 20260 Rubio alikiambia kituo cha televisheni cha Fox News kwamba Washington inalazimika kuangalia upya thamani ya NATO kwa nchi yake, akiongeza…
Biashara & UchumiKimataifa Sheria mpya ya bei za mafuta yaanza Ujerumani News RoomApril 1, 20260 Kupitia kanuni hiyo mpya, vituo vya mafuta vinaruhusiwa kupandisha bei mara moja tu kwa siku, wakati wa mchana. Kanuni hiyo…
Biashara & UchumiDiplomasia Iran yashambuli meli ya kusafirishia mafuta karibu na pwani News RoomApril 1, 20260 Shambulizi hilo la anga kutoka Iran linadaiwa kupiga ua wa ubalozi wa zamani wa Marekani. Walioshuhudia wanasema majengo mengine yaliokuwa…
KimataifaSiasa Denis Sassou Nguesso ashinda uchaguzi wa Congo kwa asilimia 95 ya kura News RoomMarch 18, 20260 Rais wa sasa wa Congo-Brazzaville, Denis Sassou Nguesso, amechaguliwa tena kwa karibu 95% ya kura, kulingana na matokeo ya muda…
Biashara & UchumiDiplomasia Umoja wa Ulaya wahimiza diplomasia mzozo wa Hormuz News RoomMarch 18, 20260 Mkuu wa sera za nje wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas amesema Umoja wa Ulaya unataka njia za kidiplomasia zitumike…
KimataifaSiasa Marekani yaruhusu uuzaji wa mafuta ya Urusi kwa muda News RoomMarch 13, 20260 Marekani imeruhusu kwa muda uuzaji wa mafuta ya Urusi yaliyoko baharini, baada ya bei za nishati kupanda kufuatia mashambulizi ya…