DiplomasiaKimataifa Khamenei aagiza kuendelea kufungwa kwa Mlango Bahari, Hormuz News RoomMarch 13, 20260 Kiongozi mkuu mpya wa Iran Ayatollah Mojtaba Khamenei, ameagiza njia muhimu ya safari za meli za mafuta ya Mlango-Bahari wa…
Kimataifa Watu 12 wauawa nchini Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi News RoomMarch 8, 20260 Watu 12 wakiwemo wanawake na watoto wameuawa usiku wa Jumamosi, wengine 16 wakijeruhiwa kufuatia mashambulizi ya makombora na droni ya…
Kimataifa Vita vya Iran vyaendelea kutanuka Mashariki ya Kati News RoomMarch 8, 20260 Wizara ya afya nchini Lebanon imesema watu 12 wameuawa kufuatia mashambulizi ya Israel siku ya Jumapili yaliyolenga maeneo ya kusini…
DiplomasiaKimataifa China yatahadharisha kuhusu mivutano kati yake na Marekani News RoomMarch 8, 20260 Waziri wa Mambo ya Nje wa China ametahadharisha kuhusu hatari ya China kutokuelewana na Marekani akisema hilo litapelekea migogoro na…
DiplomasiaKimataifa Maandamano ya kuunga mkono Iran yamefanyika nchini Afrika Kusini News RoomMarch 8, 2026March 8, 20260 Wananchi wa Afrika Kusini walifanya maandamano na mikusanyiko mikubwa wakionyesha uungaji mkono wao kwa Iran kufuatia uvamizi wa Marekani na…
DiplomasiaJamii Somalia yazindua kitambulisho cha kitaifa kwa usafiri wa ndani News RoomMarch 3, 20260 Shirika la Uhamiaji na Uraia la Somalia lilizindua rasmi matumizi ya kitambulisho cha kitaifa kwa safari za ndani siku ya…
Biashara & UchumiDiplomasia Biashara zapata hasara kutokana na vita Mashariki ya Kati News RoomMarch 3, 20260 Tathmini ya awali inaonesha hisa za makampuni yanayoratibu safari zimeporomoka kwa zaidi ya dola bilioni 22 kutokana na kufungwa kwa…
DiplomasiaKimataifa Marekani yaliwekea vikwazo jeshi la Rwanda kutokana na mzozo News RoomMarch 3, 20260 Taarifa iliyotolewa na Wizara ya fedha ya Marekani imefafanua kuwa watuhumiwa waliwasaidia waasi hao kupata udhibiti wa ardhi ikiwemo migodi…
DiplomasiaKimataifa Wabunge wa Marekani: Netanyahu amemtwisha Trump mpango wake dhidi ya Iran News RoomMarch 3, 20260 Mtandao wa The Hill umewanukuu wabunge waandamizi wa vyama vyote viwili vikubwa vya Marekani, Democtatic na Republican, wakisema kuwa uamuzi…
Biashara & UchumiKimataifa OPEC+ yaongeza uzalishaji kufuatia mvutano mpya na Iran News RoomMarch 2, 20260 Wanachama muhimu wa shirika la wazalishaji wakubwa wa mafuta ulimwenguni (OPEC+) wametangaza ongezeko kubwa kuliko ilivyotarajiwa la uzalishaji wa mafuta….
DiplomasiaKimataifa Iran yaanzisha Baraza jipya la Uongozi News RoomMarch 1, 2026March 2, 20260 Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametangaza kuwa baraza jipya la uongozi limeanza rasmi kazi kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah…
Kimataifa Watu 6 wauaa katika ajali ya helikopta Kenya News RoomMarch 1, 2026March 2, 20260 Watu sita wamefariki dunia baada ya helikopta kuanguka magharibi mwa Kenya. Miongoni mwa waliofariki ni Mbunge wa Emurua Dikirr, Johana…