1
1
Hii ndiyo mara ya kwnaza kwa Freiburg kufika nusu fainaliya mashindano ya Ulaya na wamefuzu kwa jumla ya mabao 6-1 baada ya ushindi wa 3-0 wiki iliyopita nchini Ujerumani katika mechi ya mkumbo wa kwanza.
Katika mechi tatu zilizopita, freiburg imefunga jumla ya mabao 11 katika mashindano hayo.
Freiburg sasa itakutana na Braga katika mechi ya nusu fainali baada ya timu hiyo kuitupa nje timu nyengine ya Uhispania Real Betis.