Michezo & Burudani Je, Arsenal imeweka rehani ubingwa wa ligi kuu? News RoomFebruary 19, 2026February 20, 20260 Baada ya Arsenal kupoteza uongozi wa mabao mawili na hatimae kukubali sare ya mabao mawili dhidi ya klabu iliyopo mkiani…
JamiiMakala Bara la Afrika linavyopambana na ustawi wa hifadhi ya jamii News RoomFebruary 19, 20260 Mchango wa sekta ya hifadhi ya jamii barani Afrika, katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, umeendelea kukua maradufu. Kulingana na…
Biashara & UchumiUpdate DW yatangaza kubana matumizi kufuatia punguzo la bajeti News RoomFebruary 19, 2026February 20, 20260 Shirika la kimataifa la utangazazi la Ujerumani DW limetangaza kuwa linalazimika kuokoa kiasi cha Euro milioni 21 baada ya kupunguziwa…
Makala Ramadhan: Nafasi ya kutafakari ili kuwa karibu na Mungu, nafsi na jamii News RoomFebruary 19, 2026February 21, 20260 Na Yusuf Dayo Kila mwezi wa 9 wa Kalenda ya Kiislamu, Ramadhan inarudi katika mzunguko mwingine. Mwezi wa mfungo unaozingatiwa…
Biashara & UchumiElimu Modi aitangaza India kama kitovu cha Akili Mnemba duniani News RoomFebruary 19, 2026February 20, 20260 Modi ameyasema kwenye mkutano uliowakusanya baadhi ya viongozi wa dunia, wakuu wa makampuni ya teknolojia na watunga sera katika…
DiplomasiaKimataifa Iran, Urusi zafanya mazoezi ya kijeshi katika Ghuba ya Oman News RoomFebruary 19, 2026February 20, 20260 Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran pia lilishiriki katika luteka hiyo nje ya pwani ya kusini ya…
DiplomasiaJamii Vatican, Mexico nazo pia zaukataa uanachama katika ‘Bodi ya Amani’ ya Trump News RoomFebruary 18, 2026February 21, 20260 Vatican haitashiriki katika mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa iitwayo “Bodi ya Amani”. Hayo yameelezwa na afisa mkuu…
AfyaJamii ZAHRI kufanya utafiti utekelezaji huduma bima ya afya News RoomFebruary 17, 2026February 22, 20260 WIZARA ya Afya imezindua utafiti wenye lengo la kutathmini utekelezaji wa huduma za bima ya afya, hatua inayolenga kutambua namna…
Michezo & Burudani Tupo tayari kucheza na Yanga Zanzibar -Simba News RoomFebruary 17, 2026February 22, 20260 MENEJA wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ali, amesema mechi yao na Yanga kupelekwa uwanja wa New…
JamiiKimataifa Makumbusho ya Uingereza yaondoa neno ‘Palestina’ kwenye kuta zake News RoomFebruary 15, 2026February 19, 20260 Makumbusho moja nchini Uingereza imeondoa nene Palestina kutoka kwenye moja ya maonesho yake ya ndani yenye kuhusu historia ya…
JamiiKimataifa Umoja wa Afrika wataka kukomeshwa kwa mauaji ya Wapalestina News RoomFebruary 14, 2026February 19, 20260 Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, Mahmoud Ali Youssouf ametoa wito wa kukomeshwa kwa mauaji ya Wapalestina yanayoendelea…
Michezo & Burudani Morocco kuikatia rufaa adhabu waliyopewa Senegal News RoomFebruary 4, 2026February 24, 20260 Shirikisho la Soka la Morocco, limesema kuwa litakata rufaa dhidi ya adhabu ya Dola 715,000 iliyopewa Senegal, kufuatia vurugu zilizojitokeza…